Jumatano, 29 Januari 2014
HARUSI YA KANA (Wedding in Cana of Galilee)*sehemu ya tatu*
Jumatatu, 27 Januari 2014
YANGA WAMEMNUNUA WAPI EMMANUEL OKWI?

Jumapili, 12 Januari 2014
WAKRISTO WA TANZANIA HATARINI, RIPOTI
Jumamosi, 11 Januari 2014
Miaka 50 ya Mapinduzi Z’bar yaadhimishwa kwa fikra tofauti

Slider
Sample Text
Text Widget
HARUSI YA KANA (Wedding in Cana of Galilee)*sehemu ya tatu*
Na Mtumishi Gasper Madumla.
BWANA YESU ASIFIWE...
Haleluya...,
Natumaini utaitikia “ AMEN”
Karibu tule pamoja chakula hiki cha uzima,ikiwa leo ni siku ya tatu ya fundisho hili na ikiwa ndio mara yako ya kwanza kujifunza fundisho hili,basi bado hujachelewa maana sehemu zilizopita zote zinapatikana mahali hapa hapa.
Msingi wa fundisho hili umesimama katika Yoh.2:1-11.Na siku ya leo tunaendelea pale tulipoishia,tunasoma ;
“ Basi kulikuwako huko mabalasi sita ya mawe, nayo yamewekwa huko kwa desturi ya Wayahudi ya kutawadha, kila moja lapata kadiri ya nzio mbili tatu.”Yoh.2:6
Read the full story
YANGA WAMEMNUNUA WAPI EMMANUEL OKWI?
Na BARAKA MBOLEMBOLEWakati ligi kuu ikianza, mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi, Mganda, Emmanuel Okwi amekuwa mmoja wa watazamaji mwenye thamani kubwa. Je, Yanga wameingia ' mkenge' katika usajili wake?. Hili linaweza kuwa swali ambalo majibu yake yapo wazi. Kwanza, Okwi ni mchezaji wa Etoile du Salehe ya Tunisia ambao walimnunua kutoka timu ya Simba.Kwa nini yupo Yanga?.
Read the full story
WAKRISTO WA TANZANIA HATARINI, RIPOTI
Tanzania imeshika nafasi ya 49 kati ya nchi 50 ambazo Shirika la Open Doors la Marekani katika ripoti yake ya mwaka "2014 Watch List" imesema ndio nchi hatari zaidi duniani kwa wakristo kuishi. Katika ripoti hiyo Open doors wameiweka Tanzania katika kundi ambalo wakristo huishi kwa wasiwasi huku pia likitoa idadi ya nchi 10 ambazo ni hatari zaidi duniani kuwa Mkristo. Open doors hujishughulisha na kusaidia wakristo waliopo vifungoni wakiwa katika hatari ya kuuwawa kutokana na kutetea ama kuhubiri injili ya Yesu Kristo.
Read the full story
Miaka 50 ya Mapinduzi Z’bar yaadhimishwa kwa fikra tofauti
Rais mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume akiteta jambo na Makamu wa Rais wa kwanza Seif Sharrif Hamad. Picha na Maktaba
Na Mwinyi Sadallah, Mwananchi
Wakizungumza na gazeti hili kuhusu sherehe hizo walisema kuwa katika kipindi hicho wananchi wametambua hata kupevuka katika kudai haki zao na demokrasia, huku wakitaja changamoto mbalimbali ikiwamo uduni wa huduma za afya, elimu na udhaifu wa viongozi.
Zanzibar. Wananchi wa Zanzibar leo wanaadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo yaliyouangusha utawala wa kisultan wakiwa na fikra tofauti.
Read the full story
Sample Text
Contact
Slider
Racing
Travel
Cute
Blog Archive
About Me
Videos
Popular Posts
-
Tanzania imeshika nafasi ya 49 kati ya nchi 50 ambazo Shirika la Open Doors la Marekani katika ripoti yake ya mwaka "2014 Watch List...
-
Na BARAKA MBOLEMBOLEWakati ligi kuu ikianza, mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi, Mganda, Emmanuel Okwi amekuwa mmoja wa watazamaji mwenye t...
-
Rais wa Bunge la Uswisi, Maya Graf (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wa magazeti ya Mwananchi na The Citizen katika mahoji...
-
Ndugu zangu, Yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa yanatutaka tufikiri kwa bidii. Kama nchi kuna safari tumeifunga. Na tulivyo Waafrika, tu ...
-
MCHAWI ANASWA KATIKA MKUTANO WA UFUFUO NA UZIMA MOROGORO Alama hizo hapo tatu ni za idadi ya watu aliofanikiwa kuwaua ambao walikua wam...
-
Baadhi ya watoto wa mitaani wakiwa wamelala nje kutokana na kukosa sehemu za kulala.Baadhi yao kwa kutaka sehemu nzuri za kulala na chakula ...
-
Rais mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume akiteta jambo na Makamu wa Rais wa kwanza Seif Sharrif Hamad. Picha na Maktaba Na Mwinyi Sadallah...
-
Na Mtumishi Gasper Madumla. BWANA YESU ASIFIWE... Haleluya..., Natumaini utaitikia “ AMEN” Karibu tule pamoja chakula hiki cha uzima,ikiwa l...
-
Msomaji wa Gazeti la Mwananchi akiburudika na gazeti hilo mara baada ya kuanza shughuli za uchapaji wa gazeti, kumekuwepo na sintofahamu kat...